America mchezo wa boxing unalipa sana?

America mchezo wa boxing unalipa sana?

Bobumikwara

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
43
Reaction score
14
Kwa wale wapenzi wa boxing,hivi kule America huu mchezo wa boxing inaonesha unalipa sana,sababu unakuta machalii kuanzia miaka 6 wapo gym hasa hawa ndugu zetu black na wanajifua hasa.
mimi mwenyewe namshukuru Mungu upepo wa elimu umenipitia vizuri kwa nilivyo struggle.
na ningekuwa huko pia naamini ningekua napambana na huu mchezo sababu naupenda sana ila bongo hauna maslahi, ndio maana nikaona nikomae na shule.Mungu akinijalia nikienda kusoma Masters nje nikipata management tu nitapiga two in one,ngumi na shule.
Swali je wale America huwa hawasomi kama huku bongo?.
 
Back
Top Bottom