America is fast becoming a third World country

Wewe hujaelewa somo hoja ya msingi hapa ni kwamba USA inaporomoka kiuchumi na kama ilivyokuwa kwa dola kubwa tangulizi kwamba zilikuwa na kushuka bila kujali walifikia uchumi gani sasa wewe unakuja na compendium ilijaa mali na ushawishi wa USA.

Kwani wakianza kuandika mali na ushawishi walokuwa nao akina BRITISH EMPIRE, Ottoman, Roman empire etc unadhani patatosha? Hata tulipokuwa tunasoma African empires eg MALI empire utasoma reasons for rise and fall, utaambiwa strong leadership of so and so....
 
Sure US haters wameburudiika wenyewe huku wakiendelea kuperuz JF kwa tech ya US, amevaa mtumba wa nike, anakunywa coca cola bariiiidi, na ashadungwa covid vaccine ya msaada toka US.
Haya hayazuii empire kuporomoka mkuu,soma tena mada.US wametengeneza recipe ya kuporomoka wenyewe,lazima waile.
 
Kwahiyo hizo empire zote zilipoisha zilikua ni 3rd world countries?

Are you thinking through out your behind?

United Kingdom ni 3rd world country?

Roman Empire ambayo largely ni Italy,ni 3rd world country?

Na Africa ni Africa,na Asia ni Asia,na Latin America ni Latin America,hatufanyi good job of being well to do societies economically.

Tembo akiwa na njaa hawi mdogo kama sisimizi ndugu!
 
Hii habari inatupa furaha sana sie US haters, raha jipe mwenyewe buana. Ingawa tunajua kabisa sio kweli ila Wacha tujifurahishe kwanza.
Hakuna empire ambayo imedumu milele,never,na nimeeleza wazi kwenye comments zangu with examples.Yeyote ambaye anasema America haiporomoki,hajui History na niwakupuuzwa,because it is clear inaporomoka.Ipo kwenye suicide mode naweza kusema.
 
Kwanini usiseme inaporomoka unaweka kivumishi cha uwongo kabisa eti ni 3rd World Country?

Tangu lini tembo akipata njaa ya kufa anakua sisimizi?

Hizi nyege zenu na Russia zinawazidi aisee....yaani Russia yenye uchumi mdogo zaidi ya Texas ndio inawapa nyege zote hizi?

Hebu stop smoking these pipes and get down into reality!
 
Third world country haitazamwi kwa maendeleo ya miundo mbinu,GDP n.k., bali hutazamwa kwa kiwango cha ustaarabu wa watu.Na hata hiyo miundo mbinu mnayoifikiria,mbona Ina decay fast.Afterall hcriteria za zamani za ku-define countries zilikuwa fake na zilikuwa na nia ovu ya ku_look down upon other nations.The new definition ni ya kuangalia ustaarabu and the general well being of people.Definitions mlizozizoea za GDP nk.mlizodanganyiwa ni outdated.

-USA kuna vibaka kama wa manzese.

-USA bado kuna wizi wa fatuma ( home invasion)
Ona wizi huu wa kutumia nguvu!


-USA mtu anauliwa kwa kuonewa wivu kwa sababu amepata kazi nzuri inayo mlipa.

-Hakuna security kabisa US.
Hiyo ni developed country kweli?Upuuzi kama huu huwezi kuukuta katika nchi kama Finland, Denmark, Norway, Sweden.So you call the US a developed country?Msidanganywe,it is fast becoming a third world country.
 
Civics ulisomea chooni?

Naomba uchukue tokeo lako la Civics O'Level upaste hapa tuone mavi..

Wewe definition ya 3rd World Country ndio hii uliyotoa wewe hapa?No wonder ulifeli Form Four...yaani hadi Civics ulifeli?

Bure kabisa..wewe ni ghaseer kabisa!

Yaani ile topic ya MDCs na LDCs,Cold War na World's Geopolitics,hizi topics ulisomea kwenye tundu lako la kujisaidia haja kubwa?

Toa proper definition ya LDCs na Third World Countries Block hapa,marks ni 20%....kama hutapata 0% still pamoja na Ku-Google utafeli!
 
Nonesense ,Marekani ikiwa third country hizo nchi mnazoishi zitadegenerate into fifth world , baada ya kudeal na matatizo ya nchi yako umekaa kama fwala kuanzisha thread za kiboya hapa , nyie kwenu hamuoni inflation na increasingly life hardship ?
 
Usinikumbushe ushenzi huo niliofundishwa shuleni,Mimi Sasa nime erevuka sio yule.Kama wewe umebaki kwenye ujinga ule ule, sio mimi.Zile tunaziita "enslavement protocols."
 
Nonesense ,Marekani ikiwa third country hizo nchi mnazoishi zitadegerate into fifth world , baada ya kudeal na matatizo ya nchi yako umekaa kama fwala kuanzisha thread za kiboya hapa , nyie kwenu hamuoni inflation na increasingly life hardship ?
A slave indeed,pole sana.Kale ka-degree walikokupa kameku-cage hufurukuti kabisa.Very sad.
 
Usinikumbushe ushenzi huo niliofundishwa shuleni,Mimi Sasa nime erevuka sio yule.Kama wewe umebaki kwenye ujinga ule ule, sio mimi.Zile tunaziita "enslavement protocols."
Acha kutafuta quotes to justify your forgetfulness!

Ulisoma kitu umesahau sema nimesahau sio unatafuta vimaneno kujustify your stupidity ya kusahau vitu
 
A slave indeed,pole sana.Kale ka-degree walikokupa kameku-cage hufurukuti kabisa.Very sad.
Wasahaulifu bwana

Yaani utatafuta vimaneno hadi vya Bob Marley kujustify usahaulifu wako

Anaekumbuka unamuita eslaved,wewe uliesahau unajiita hero...like really?

Daktari kasoma procedures za operation darasani,unataka akitoka darasani asahu aachane nazo halafu akija kukufanyia operation akuchane ufe ndio sahihi?

Be a man and own it,sema nimesahau sio unatafuta vijimaneno kuhalalisha upumbavu
 
Usichoke kuondoa ujinga akili mwake, endelea kumpa darasa huyo mbweha.
 
Sure US haters wameburudiika wenyewe huku wakiendelea kuperuz JF kwa tech ya US, amevaa mtumba wa nike, anakunywa coca cola bariiiidi, na ashadungwa covid vaccine ya msaada toka US.
Asipokunywa coca atakunywa pepsi. Budget ya nchi yake inategemea msaada wa US, barabara anazopita kuwahi kazini ni msaada wa haohao US, mikopo ya nchi yake kutoka Bank ya dunia na taasisi mbalimbali fedha zinatoka hukohuko kwa haohao US.

Nyerere alikosea mno kufungana na ujamaa wa urusi na china, alikosea mno, hawa walifanya leo tuwe masikini zadi. Angefungamana na UK na US walau leo kuna mahali tungekuwepo.
 
Umekurupuka kumjibu jamaa.

Hoja ya jamaa ni kwamba, US hata akishuka uchumi wake, hawezi kushuka kiasi umfananishe na dunia ya tatu.

Ni mwendawazimu wa mwisho, na tahira kiwango cha juu kabisa atakayedhania US inaweza ikaporomoka kiuchumi kuwa sawa na TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…