Amepokea mwanaume mwenzangu

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
Wana jf naombeni ushaur wenu nipo ktk kipnd kigumu sana,nina mpenz wangu wote tunapendana ila kati 2lisalitiana bt tukaahd kufungua ukurasa upya wote 2we wa kweli na 2kapenda kutokana na kutafuta maisha 2ko mbali kimkoa ila 2nawasiliana kila cku cha kushangaza na mpigia cmu jion hii anapokea mwanaume then anajitambulisha yy ni mpenz wake,naombeni ushaur wenu na wote 2najua kama mapenz yanatesa na kuumiza,its beter kutocoment kuliko kucoment ma2si au vbaya
 
mndengereko unataka tukushauri nini? Jibu liko wazi kuwa mwenza wako si mkweli kwako, bado anacheat, unaweza mpigia ukapozwa kwa maneno matamu na kuamua kuendelea nae au ukaamua kumwaga, maumivu yapo ila in time yataisha
 
Kurudi nyuma kama mbwa ayarudiavyo matapish yake na kuyala ni dalili za kidhaifu utakula uchafu. Ila kama unampenda waweza kufanya mpango wa kutrain akili yake kama unaroho kama yangu ni kumpotezea bila kukumbuka.
 
dah! Hiyo mbaya sana mkuu,tupa kule anza maisha mapya kaka
 
Pole, shukuru hajakufanyia blood konkasheni.

Kapime ujue kama kakuacha salama.
 
unaposema mmesalitiana unamaanisha nani kamsaliti mwenzie?
clarify a bit ndg.
pili kama ndio hivyo simu amepokea mwanaume mwenzio haina haja ya kujitesa kwani kila kitu kipo wazi kama antena juu ya bati.
japo inauma ila inabidi ujikaze kufungua ukurasa mpya wa mapenzi bila huyo bibie kwani ameshaonesha her true colours.
mwisho kabisa maamuzi huu ni ushauri
ambao mwisho wa siku wewe ndo mwamuzi.
 
Wana jf naombeni ushaur wenu nipo ktk kipnd kigumu sana,nina mpenz wangu wote tunapendana ila kati 2lisalitiana bt tukaahd kufungua ukurasa upya wote 2we wa kweli na 2kapenda kutokana na kutafuta maisha 2ko mbali kimkoa ila 2nawasiliana kila cku cha kushangaza na mpigia cmu jion hii anapokea mwanaume then anajitambulisha yy ni mpenz wake,naombeni ushaur wenu na wote 2najua kama mapenz yanatesa na kuumiza,its beter kutocoment kuliko kucoment ma2si au vbaya

Pole sana, hapo kaka yangu huna chako.................huyo mpenzi wako sio muaminifu na dunia hii yetu ya leo mmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wana jf naombeni ushaur wenu nipo ktk kipnd kigumu sana,nina mpenz wangu wote tunapendana ila kati 2lisalitiana bt tukaahd kufungua ukurasa upya wote 2we wa kweli na 2kapenda kutokana na kutafuta maisha 2ko mbali kimkoa ila 2nawasiliana kila cku cha kushangaza na mpigia cmu jion hii anapokea mwanaume then anajitambulisha yy ni mpenz wake,naombeni ushaur wenu na wote 2najua kama mapenz yanatesa na kuumiza,its beter kutocoment kuliko kucoment ma2si au vbaya

Una miaka mingapi?
 
Look fwrd!
Usijeshukwa ubongo chini ya spinalcode!
Now days ubongo ukicheza tu, unadrop!
Hasa kwenye love stress !
Shtuka mapema!
 
Unataka kufa na brain concussion nini endelea utapata unachokitaka.
 
yanini mtoto aliezaliwa akutese sana man?we kama vp mpotezee kimaumivu mana kuna sababu kama mbili za kuachwa nae,kwnza pesa yko ni ndogo umeshndwa kumhudumia nae anapenda starehe.
Pili kuwa mbali na yeye na ile kuona wengne wakitoka outin na wenzao nae akataman.
Afu ujue dunia imeharibika sana kumpata mwanamke mwaminifu ni adimu sana,unaweza ukawa na hela na pia akataman **** yangu,na ya wengne tokana na mazoea.we mpotezee ukishndwa jishushe akikupa maelezo mazuri jifanye kumwelewa then tafuta demu mwngne huku ukiwa nae huyo msalit mwshoni nawe uje umtese,jino kwa jino hapo hapo uwe umemsugua mpaka utapike ukimuona.karibu bia
 
da hapa ni ushauri upi unataka waati kila kitu kipo wazi..ni kufunga ukurasa na kuanza ukurasa mpya

Inauma sana pole
 
thanx guys kwa ushaur wenu nitaufanyia kaz though ni ngumu kuamini kilichotokea leo cz alikuwa ananipenda naamini time and tears vitanifanya niwe beter bt nimejifunza dont trust girls
 
Brain Concussion!
... Za kuambiwa changanya na zako!

brain_concussion_3.jpg
 
Kwani wanawake ni kumi na wawili kama diciple wa jesus,madharau gani anafanya huyu dada?ukitupa jongoo mtupe na mtiwe.usipoteze mda tafuta ajuae mapenzi ni nini.
 
mmesha amua kufunga ukurasa yeye kafungua.
Kama uko tayari kurudi nyuma basi rudi nyuma
kama unahisi utaweza kumsamehe na kufunga tena, do it
Kama unaona utashindwa all the above, badili kitabu sasa.
 
Pole kaka!. Nakuomba ufanye maamuz ya kiume, hii achana rudiana ina tabu zake. Achana nae kisha chukua mwingine alie karibu na wewe, Fimbo ya mbali kak haiui nyoka.
 
kumbe mlishasalitiana, mkasameheana? ni muendelezo ule ule tu: sameheaneni muendelee kusalitiana ili mradi maisha yasonge mbele...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom