tHANKS KWA USHAURI MZURI HUUww ndo una uamuzi kwa sababu huyo ndo sijui future wife au lah kama tabia ndio hiyo mmmmmh hali itakua tete mkifikia hatua ya kujenga familia,muite mueleze kinagaubaga umpe muda achekeche ubongo wake aamue kati ya kukusikiliza ww na pombe nn kinamfaa zaidi,akitambua kipi ni cha muhimu atachagua yeye,simple like that usijeshangaa mama kajikojolea na mtoto kajikojolea sijui utamsaidia nani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
shukrani kwa ushauri mkuu...maana urafiki hivi nikiweka ndani je?ni mpenzi tu! Je akipanda cheo akawa mke! Chukua hatua&tafakari
kabisa mkuu...umenenahaipendezi kwa mtu kulewa tilalila, tena kwa mwanamke ni aibu kubwa sana. Kama anakasirika ukimwambia ukweli ujue kua hana mpango wa kuacha hiyo tabia, hivyo kama unaona haiwezekani kuacha tafuta mwenye sifa nzuri au ndiye anayekuweka mjini mkuu?
mh ok kumbe?!hafurahii kuwa na wewe; that's all l can say for now.
Ni mpenzi tu! Je akipanda cheo akawa Mke! Chukua hatua&tafakari
MMMh kumbe!!!??? ila sidhani kama ni hivyo kwa kweli sema anataka afanye atakavyo...any wayHafurahii kuwa na wewe; that's all l can say for now.
aha aha aha aha aha aha nimependa hiyo mkuu...maana unaiburuza mpaka anajuta...unatoa kwa ndoanotry drunken sex and see kama ataendelea kununa
Mkuu sitauweza huu bora nichape mwendo kabla ya hatari...thanks kwa ushauriKila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe......kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe....kamanda umeshaupima uzito wa msalaba wako...uko tayari kuubeba????Katika shida na raha????
Wapendwa wana jamii naomba nifike kwenu japo kwa neno la faraja na ushauri maana mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka miwili sasa...takribani miezi miwili kuna siku nilimshauri tabia ya kupenda pombe kama mtoto wa kike kuwa si njema...si bia moja au mbili bali ile ya kulewa tirarira...sasa baada ya maneno hayo amenuna na wala hataki mawasiliano na mimi...wanajamii ushauri au hata neno la nini nifanye katika mazingira haya.