Huyo kwako ni bibi Mwanaume unatakiwa umzidi mwanamke miaka 5 na isizidi 15years[/QUvipi mbna unakua muoga sana kaka!uwezo mdogo nini?
Duh; gia ya kwanza unaanza kwa kudanganya umri?
kuna watu wana 'uongo-liasis'
hata sehemu ambazo hazihitaji uongo wao wanapata cha kudanganya.
Mtu akinidanganya umri, natupa!
Sio mbaya lakn mwambie ukweli ili kama na yeye ana amani muendelee kwa raha zenu.Habari wanajamvi!
Nimeingia kwenye mahusiano mapya mda si mrefu sana ila kiukweli ninampenda huyu binti na yeye pia ananipenda, wakati tunaanza kufahamiana tulianza kuwa marafiki tunaoheshimiana sana, na huyu binti ana heshima sana, tulipoaza kujuana alinitajia umri wake ambao ni miaka miwili zaidi ya umri wangu, ila yeye hajui kwani nilimwambia nimemzidi mwaka mmoja, so hivyo ndivyo anavyjua, sasa tunaendelea vizuri mno ila kinachonipa wasiwasi je, mnadhani hili swala la umri linaweza kuwa kikwazo kwangu kuwa na mwanamke aliyenizidi 2years?
Kongosho heri ya mwaka mpya jamani.Sasa kama nitaka first imprition iwe umri nifanyaje,hata ukigundua baadae umeshakolea huwe nitupa,utasema miaka ni namba tu ha ha ha ha
Acha uboya kwani mwiko haukarangizi hilo sufuria???
Acha uboya kwani mwiko haukarangizi hilo sufuria???