Ameniwekea bifu demu huyu

Ameniwekea bifu demu huyu

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Kwanza niwape pole na mishe
kuna demu flan nlikutana nae chuo baada 1 wiki nilitikisa kibiriti alikataa niliendelea kumwinda mwishowe alisema aniitaji na ana mpenzi na anampenda sana m si nkampotezea tangu juz aliniona na dem mwingne ameweka bifu haitikii salam ka zaman wala hata assnmt group hatuonge nkimwongesha anaweza hata nitukana au kunisonya
sasa sielewi kama what happening na ni wanawake wote wako ivi au
 
ndo staki nataka hao, anajifanya hakutaki kumbe kimoyomoyo anakutaka sijui kwa nin baadhi ya wadada wanakuwa hv! Achna nae hajielewi endelea na uliyenae
 
Nini mbaya?
Na wewe mlie bati mazima Arifu..
Au bado unamtaka kwani?
 
wala asikupe tabu kaka alie pata kapata bana ye sialisha kutosa na akasema anamtu wake wala usimuimtatain kwa tabia zake we fanya yako tu arifu.
 
Kwanza niwape pole na mishe
kuna demu flan nlikutana nae chuo baada 1 wiki nilitikisa kibiriti alikataa niliendelea kumwinda mwishowe alisema aniitaji na ana mpenzi na anampenda sana m si nkampotezea tangu juz aliniona na dem mwingne ameweka bifu haitikii salam ka zaman wala hata assnmt group hatuonge nkimwongesha anaweza hata nitukana au kunisonya
sasa sielewi kama what happening na ni wanawake wote wako ivi au

Usinikubali haraka haraka - fid Q ft. Matonya

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
mnunie ....ila babako anajua kuwa Uko chuo kutongoza watoto wetu ....?
 
Back
Top Bottom