Kosa lako hulijuwi ama, hujatoa huduma mkuu ulitegemea afurahi , ukishindana na mwanamke wewe ndo utaumia, wao wanatongozwa muda wowote PIA wao hisia za kufanya tendo wanaweza wakakaa muda tu bila kushiriki tofauti na sisi wanaume..Kama kichwa cha habari kinavyosema....Jana Jumamosi...nikamtumia nauli...amekuja toka atokapo......amefika akanza kujibalaguza...mara anataka ondoka,,mara anachelewa...nikamuomba na kumbembeleza...akanza sijui atachelewa....mara tumbo linauma...nikaona siyo kesi..nikamwambia powa..kabla hajaondoka akanambia anaomba nimsaidie ela...nikamchunia..basi akaondoka kwa hasira...mpaka leo sijamtafuta..hajanitafuta.sasa wadau mimi ninakosa gani
huduma gani mkuu...Kosa lako hulijuwi ama, hujatoa huduma mkuu ulitegemea afurahi , ukishindana na mwanamke wewe ndo utaumia, wao wanatongozwa muda wowote PIA wao hisia za kufanya tendo wanaweza wakakaa muda tu bila kushiriki tofauti na sisi wanaume..
Au ni wewe nini...mbona kama povu Fulani hivi
Au ni wewe nini...mbona kama povu Fulani hivi