Ameniganda eti lazima nimuoe

kula kitumbua bule bule tu nani kasema umelikoroga hillllo lako. piga ua utaoa tu no kumuacha, mmezoea sana ningekuwa mimi had kwa mganga naenda
 
ningejua nisingempa penzi la kweli. ona sasa amenogewa
 
ningejua nisingempa penzi la kweli. ona sasa amenogewa

mzee acha kujivunga; angekuwa alikuwa ni mapoozeo kwako usingelimuonjesha hilo penzi la kweli; maadam ulimpa penzi la kweli basi unamaapenda hebu maliza udhia; tena anakujia na faida ya watoto mapacha; mungu akupe nini kidonda?
 

Uko na memory card ya GB ngapi ktk brain yako mama cuz umekumbuka yote kiasi kwamba hata Hazole hakumbuki aliyoyasema!
 
Nahisi unampenda hapa umekuja kutupotezea muda. kama issue ilikua mapumziko tu, unashindwa nini kumwambia ukweli? mapacha apewe na nani halafu ndoa umpe wewe? hebu malizaneni wenyewe, usituchoshe hapa.
 
Kwanini hutaki kumuoa? muoe..kwanini utembee naye halfu ukaoe wengine kwani yeye ana nini?
 
mkuu sijawahi kumpa mimba...soma vizuri. alizalishwa miaka mingi huko nyuma. mimi tulikuwa tunapeana raha tu, au kosa hatukuandikiana written agreement? no, tulikutana kiswazi swazi na ataachwa kiswaziswazi tu
hayo maneno yake,ni walewale wachezeaji tu
 
hama hapo kimya kimya. Kama haelewi mwambie girlfriend wako aje hapo kama wiki 2 hv, huyo king'ang'anizi akija akukute nae. Ataacha
 
Tutakueleza nini sisi wakati jawabu unalo! Umsema hata aje na jeshi la NATO huwezi kumuoa.
 
mzee acha kujivunga; angekuwa alikuwa ni mapoozeo kwako usingelimuonjesha hilo penzi la kweli; maadam ulimpa penzi la kweli basi unamaapenda hebu maliza udhia; tena anakujia na faida ya watoto mapacha; mungu akupe nini kidonda?

haaahaahaa kweli wewe ni jeuri. haya bwana
 
 
yaani wewe umemchezea mtoto wa watu miezi 8 halafu unataka umuache bila sababu.hapana haiwezekana.sema kakukosea nini.mtu ana kuheshimu anakutunzia penzi umemchokonoa wewe yupo hoi halafu leo unamuacha hivihivi.sasa kwanini umempotezee mda na kumumiza mtima?si bora usingemuonjesha?acha akugande.mimi nataka umuoe au utoe sababu za msingi zinazoeleweka kwanini hutaki kumuoa.hakuridhishi?ni mchawi?hajatulia?hazai?nini sababu.hii kesi ianze upya.mia
 
unakumbukumbu nzuri sana!!
 
Unalo hilo! Ndo mkome manake hamtakagi kupitwa,

 
Oa huyo huyo, umemchezea miezi 8 kumbe huna mpango naye, unataka kumuoa nani sasa? Kijana bahati inakupita hiyoooo!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…