Ameniblock kila sehemu lakini akiweka picha kali ananifungulia

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,623
6,089
Wadau mpo salama bila shaka.

Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru sana kupendwa na Mimi.

Nikasema poa, but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadaye akanambia pia hana mtu pale Mzumbe asomapo. Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe mtoto mtoto kweli.

Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya siku tatu. Nikasubiri wee ilipofika hiyo siku akanambia eti ana mtu wake na anampenda sana hawezi kumuacha lakini eti niwe na subira pengine anaweza kunielewa.

Baada ya siku kadhaa nikakutana naye jibu likawa hilohilo. Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzaye hakwambii toka. Kuanzia hapo nikakauka si message waa calls lakini siku fulani fulani akawa hakosi kunitumia text za “Good Night” na zingine za mfanowe.

Basi mimi nilikuwa nikishukuru tu na kumwambia jinsi gani namzimia.

Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text, Goodnight nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her. Nikaona si vyema kumkaukia mtoto kama yule.

Nikaanza shobo za kumpigia na text. Ndipo hapo nikagundua ameniblock kila mahali kuanzia WhatsApp, Calls, Texts na kwingineko. Lakini cha ajabu akitupia picha kali WhatsApp eti ananifungulia kutoka block.

Wadau mnisaidie, huyu dada vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
, dah let me think..

Anyway - kina wadada flani wanapenda kudindisha ili uwe mpole na unyenyekee kweli kweli, na ukikubaliwa kwa hali hio unaweza kujikuta upo under control, si a najua umezimika.

Ushauri, don't text mpaka a text, na akiweka picha utupie jicho no comments, at the end atakutafuta wewe na ukiongea nae jifanye mtu wa busy..


Anakutaka but kuna kamtege anakutega, be strong
, muangalie speed yake, kwa sababu yako imefika jikomo na tuliza hio hio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nmekuelewa Sana ntajitahidi kufuata someone lako ndgu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…