Ameliorate insufficient/failed/abandoned therapeutics compounds

Ameliorate insufficient/failed/abandoned therapeutics compounds

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,125
Reaction score
6,141
Asilimia zaidi ya 99 ya dawa ambazo zinatengenezwa zinafeli kwenye stage mbalimbali nyingine zinafeli kwenye pre Clinical trials, nyingine kwenye Clinical trials nikimaanisha zinakuwa na
  1. Severe side effects
  2. Efficacy yake ni ndogo haifiki asilimia 40 kwa hiyo haziwe ingia sokoni

Nyingine zinafeli baada ya kuwa approval kupitia pharmacovigiliance zinaonyesha severe side effects kwa baadhi ya watu mfano mzuri ni
  1. chloroquine na Amodiaquine
  2. zile chanjo za carona kuna baadhi ya watu zilikuwa zinasababisha kuganda kwa damu na heart inflammation
na ilikuja kugundulika baada ya kuwa approval kupitia pharmcovigiliance

Sasa ukija kwenye paragraph ya kwanza na ya pili utaona hizo compound zinaitwa failed/abandoned therapeutics compound kama nilivyosema zipo nyingi sana

NIKIWA RAIS WA TANZANIA moja ya project kama nchi tutakayofanya ni kutengeneza database ya failed/abandoned/shelved therapeutics compounds

Naamini technologia ikikua kama nchi tutaweza ku-ameliorate failed/abandoned therapeutics compounds na kuweza kuingia sokoni na kuingizia nchi mapato

SIO LAZIMA TUFANYE SISI BALI TUTAWAACHIA VIZAZI VIVYO URITHI WA IDEA, NA METHODS ILI WAEZE KUENDELEZA TULIPOISHIA

Kama unataka njia zitumikazo kutengenezea dawa ni kama hizi zifuatazo nimeelezea kwenye huu uzi
 
NIKIWA RAIS WA TANZANIA moja ya project kama nchi tutakayofanya ni kutengeneza database ya failed/abandoned therapeutics compounds
 
Back
Top Bottom