Amekua;mwamishe

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
habar wanajamvi.
wito kwa wazazi.jaman najua upendo mlionao kwa watoto wenu lakini mtoto akishaanza kuongea mwamishen kutoka chumban mwenu.
kuna mtoto kaniuliza maana ya HONEY ni nini?nikamjibu kuwa ni nta itengenezwayo na nyuki na ni tamu.then akauliza tena je HONEY INA MIGUU?nikashangaa na kumuuliza sababu ya swali lake akanijibu huwa anamskia baba ake usiku akisema HONEY PANUA MIGUU.
 
hahahha panua miguu honey...hapo utamu kwishakolea hahhaa anataka kumalizia kwa style ya kifo cha mebde lolo
 
"My parents are so religious, at night I normally hear them shout Jeez jeez! its cominggggg"...
Nukuu kutoka kwenye movie msinitafune
 
Nawe ulitumia hekima gani baada ya huo mjadala wenu?
Au ndio ulishia kucheka
 
maswali ya watoto hayaishi
especially boys
 
kwa nininusubiri hadi aanze kuongea? Mie akifika miezi 11 tu namtaftia ustaarabu wake....... Mambo ya kuumbuliwa na watoto nani anataka? Mradi mzazi usiwe mvivu kumcheki mtoto mara kwa mara yaani ni zoezi haswa na unapaswa kufunga roho........... Na kitanda hakikisha ki salama....
 
Ilikuaje mpaka mtoto mdogo kama huyo akakuuliza swali kama hilo,au na wewe ni mtoto mwenzake?
 

mmhm! Kuna ulazima wa kujenga majumba makubwa kama mastaa wa Ulaya!ili kuokoa hiki kizazi! Yaani watoto nao hawalali jama!
 
mi napita tu! maana watoto wa siku hizi ni balaaa! teh teh teh teh
 
Sisi enzi zetu za Analog tuliambiwa chumbani kwa wazazi usiingie kuna FISI. lakin mmmh!! kizazi hiki cha DIGITAL sijui!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…