Amekaa na demu anaogopa

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,915


Yaani ni kama Jay Moe alivyokuwa anamuogopa K.LYN kwenye video ya NIKIPATA WANGU au NELLY alivyokuwa anamuogopa KELLY ROWLAND kwenye video ya DILLEMA.
 
tena amepewa dakika 2 aseme amemwitia nini hapo, ........mwenzenu anawaza namna ya kumwambia i love u
 
Mi naona hakuna uhusiano wowote hapo huyu jamaa anaangalia screen naona katukanwa na jf member
 
Tehe tehee tehee jamaa anatamani kulia hapo ana maumivu moyoni,umenikumbusha pia Sean Paul na Beyonce hakuna hata sehemu walionekana pamoja mpaka video imeisha nahisi Jay Z alisema marufuku.
 


Yaani ni kama Jay Moe alivyokuwa anamuogopa K.LYN kwenye video ya NIKIPATA WANGU au NELLY alivyokuwa anamuogopa KELLY ROWLAND kwenye video ya DILLEMA.

hahahaaaa! Kama hujakomaa bado kutongoza ni mtihani mgumu sana....... Uskute jamaa kasakiziwa sasa pozi limepotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…