mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 82
Habari zenu wanajamvi, ni j2 nyingine tupo pamoja lakini nimeona leo niwashirikishe jambo lililonistaajabisha na hata kushindwa kuamini. Nikiwa ktk shughuli zangu ugenini na nimefikia lodge moja mkoani nikaamua kutoka nipate breakfast restaurant. Kwa bahati nzuri wageni tuliolala kwenye lodge hiyo tulikuwa wachache, hivyo nilijikuta mwenyewe restaurant. Ghafla iliingia tax ambayo vioo vyake vya nyuma ni tinted. Mara kashuka bint m1 akiwa na uniform za chuo cha ualim na kupewa rum. Nilimsalimia akaitikia na akamwambia muhudum kuwa mwenzake atakuja kulipia. My God baada ya muda katokea mzee Kama wa miaka 68 kumbe ndo muhusika.
Nimeamin ng`ombe hazeeki......
Ndio babu yake huyo?
Huyo Babu sio huyu tunaeangaika naye KAPUU YA?
Sema tu mzee kakufyeka miguu akakutafunia mawindo yako ukiona kwa macho yako. Ulimsalimia....ukataraji kakuletea kumbe kamletea mzee. Soma nawe uwe profesa utaletewa.
Ukimshangaa babu mshangae hata huyo binti...