njujujr JF-Expert Member Joined Dec 29, 2017 Posts 684 Reaction score 470 Dec 20, 2020 #1 Kunajamaa yangu muajiliwa amemaliza diploma ya computer science ameniomba ushauri ya kuwa asomee course gani degree ambayo itabaki ndani ya ICT lakini isiwe ngumu sana ushauri course gani ambayo sio tight in ICT plz kwa mwenye kufahamu vizuri.
Kunajamaa yangu muajiliwa amemaliza diploma ya computer science ameniomba ushauri ya kuwa asomee course gani degree ambayo itabaki ndani ya ICT lakini isiwe ngumu sana ushauri course gani ambayo sio tight in ICT plz kwa mwenye kufahamu vizuri.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,965 Reaction score 25,330 Dec 20, 2020 #2 Kasome sociolog
de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 760 Dec 23, 2020 #3 Ukishaingia kusoma ict huwezi soma kitu simple hata siku moja mwambie akakomae akasome bachelor ya computer science tu
Ukishaingia kusoma ict huwezi soma kitu simple hata siku moja mwambie akakomae akasome bachelor ya computer science tu
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,920 Reaction score 28,500 Dec 23, 2020 #4 Asome upishi