Amechakachua kura na wasaidizi wake wanafuja kodi za walalahoi kumpongeza


D

DENYO

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2010
Messages
698
Likes
3
Points
35
D

DENYO

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2010
698 3 35
Hii ni hatari jamani tangu matokeo ya uchachakachuaji magazeti yanapata tenda za kuwapongeza wachakachuaji kwa kutumia kodi za wananchi -hivi niulize hizi ofisi za umma wanapata pesa wapi kutoa matangazo kwenye magazeti kuhusu ushindi wa wachakachuaji au wanadhani kwa kufanya hivyo wananchi wataamini alishinda bila kuchakachua? Kwanza moja ni ufisadi lakini pili ni nidhamu ya woga wataalamu wache kujipendekeza fanyeni kazi wananchi wanayotegemea sio unafiki ufujaji na uzandiki tutawapeleka mahakamani kwa ufisadi
 

Forum statistics

Threads 1,236,841
Members 475,301
Posts 29,269,572