Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
- Thread starter
-
- #41
Sahihi kbsa kakaNawewe mtext "niaje"
mpeleke anavyokupeleka
akijibebisha na wewe jibebishe
akija ki kax nawewe jibu ki kax
hii ni directly propotional mpk tufike
Nlipanga kumuoa mwaka huu ila kuna mambo yameingiliana na nilimwambia siku chache nyuma kuwa anivumilie huu mwaka uishe
So labda itakua ndo sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlipanga hivo maana kiukweli alionesha utofauti sana kumbe nmegundua alikua ana act akidhan ntaenda kwao kumposa
Kuliko kushindana kwenye mahusiano bora mpotezeane kwa amani..
Raha ya mahusiano shobo iwe balanced, sio iegemee kwa mmoja.
Lastly ongea nae kuhusu tabia hii kabla ya kufanya maamuzi magumu
Pale ambapo unatoa ushahur wa mapenz halafu ni singleKuliko kushindana kwenye mahusiano bora mpotezeane kwa amani..
Raha ya mahusiano shobo iwe balanced, sio iegemee kwa mmoja.
Lastly ongea nae kuhusu tabia hii kabla ya kufanya maamuzi magumu
Mimi ni 1:1Kama yeye anajibu usiku wewe usijibu kabisa..yanini kujiumiza maisha yenyewe mafupi haya.
Nikutext text 5 usinijibu hata Kama nakupenda vipi sijisumbui kukutext Tena..tuishi tu Kama manyani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka mke ambae ana passion na mimi
sio hawa wa mapenzi ya muda kama utamu wa mua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha hua hachezi mkuu wangu.. unajua hako kamsemo alisema nani ka i guide othersPale ambapo unatoa ushahur wa mapenz halafu ni single
"I guide others to a treasure I cannot possess "
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nimeanza hapa kapo kanalalamika eti nakakaushia nadhan kalidhani mimi ni yule wa kupiga piga masimu nijue kwanini hakajibu meseji
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana kiongozi wanguUshauri konki sana🤛🤛
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shobo = mawasilianoKu-balance shobo ndio inakuwa vipi?
Au maana yake ni nini?
Asante nimeielewa hiyo.Shobo = mawasiliano
Mawasiliano ya upande mmoja = Unbalanced shobo
Mawasiliano ya pande zote = balanced shobo
Najua mkuuKocha hua hachezi mkuu wangu.. unajua hako kamsemo alisema nani ka i guide others
Mkuu hapana kwa kweliIla mkuu huyu demu unaonekana unampenda sema ndo vile kujidai nunda hapa ndo wanaume tunapofeli kazi ya mwanaume ni kupenda na kazi mwanamke ni kutii
Ndio maana wewe ndo ulianza kumtongoza ... kutongoza ni nusu ya kujipendekeza so kama ulianza kujipendekeza kwa kuanza kumtongoza why uishie katikati endelea tu mpaka utakapoona basi huyu si wangu saikolojia ya wanawake ndivyo ilivyo anataka kubembelezwa mkuu unafeli wapi
Sent from my iPhone using JamiiForums