Ameanza kunichukulia poa

Mtext usiku mwema kiroho safi then make no contact haijalishi hatokutafuta kwa muda gani nawe usimtafute I guarantee atakutafuta tu kaza hiyo nafsi asipo kutafuta imetoka hivo uyo si wako.

Siku akikutafuta akianza story za kwa nini uko kimya.. Play cool but hard "Nilikua busy but I miss you..." . Ukiweza kusimamia ilo thamani yako itarudi
.
 
Nataka mke ambae ana passion na mimi
sio hawa wa mapenzi ya muda kama utamu wa mua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayupo. Mtengeneze.....la, tafuta kigoli ingawa na yeye lazima utaanza kwa kumtengeneza.

Uhuru uliopo sasa unawafanya -ke waweze kupitiwa na wanaume angalau 10 kabla hajaingia kwenye ndoa. Ingawa hawakuumbwa kupitia hayo yote kabla ya ndoa, sasa wanapata nafasi ya kufanya ulinganifu; zaidi wanaweza kuwa MAMA zako(kwa mila za kikwetu) ikiwa tu baba mzazi atakuwa amepita. Sasa katika hao kumi, kuna kila mwenye uwezo, kuanzia zero to hero, na hicho kipindi anachopitiwa na hao 10 ndo kipindi ambacho anakuwa kama KARATASI mpya haijaandikwa bado; mwandiko utakaowekwa pale ndo utaipendezesha ua kuichafua karatasi hiyo, na bado hautakuwa mwandiko wako.....utabakia pale.
 
Yaani kuchelewa kujibu sms ndo unafikiria kumwacha, utakuwa umempata mwingine tu labda, kama sivyo jitahidi kumfanyia vitu ambavyo mpenzi hufanyiwa, usimjaribu ili upate visingizio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuchelewa kujibu sms ndo unafikiria kumwacha, utakuwa umempata mwingine tu labda, kama sivyo jitahidi kumfanyia vitu ambavyo mpenzi hufanyiwa, usimjaribu ili upate visingizio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sema niko makini sana
Nataka mwanamke ambae ananipenda kiukweli sio mwenye hitaji la ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitafute msaidizi wa kupambana na maisha!Sijakuelewa mkuu!una maanisha nin?madhara yake ni yapi??nataka kuandika zaidi!naishia hapo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…