Pole sana kwa yaliyokukuta, believe me within six months utakuwa unacheka na kujiona mjinga kwa machozi unayoyatoa sasa hivi.Ndugu habarini
Naomba mniambie hivi mtu akiamua kukuacha kisa hamshabiiani utafanya nini? Utalia Au utamshukuru Mungu na kumuomba akusaidie uondokane na udhaifu wako akupe mtu sahihi mtakaeshabiiana.???
Kuna dada alimpenda sana mkaka flan sasa huyo kaka amemuacha amemuambia hawashabiiani. Mdada analia tu hadi ameathirika kisaikolojia anajihisi anamapungufu ambayo mwanaume hawezi kuyavumilia.
Hali kubwa Ni unywaji wa pombe na starehe huyo kaka anapenda kujirusha na kunywa pombe Mdada hayuko hivo Ni bon town na maisha yake Ni yakitown. Wengi waliotambua uhusiano wao walikuwa wanahofu ila yule dada anadai alimpenda mkaka hivo hivo alichokuwa anakifanya Ni kumsihi asinywe pombe kupitiliza na starehe ziwe na mipaka. Tatizo limekuja pale yule dada anapoona huyu kaka anayoyafanya akikasirika akagomba yule kaka anaona Mdada anataka kumcontrol yule dada hadi anajiskia vibaya. Ilitokea siku huyo kaka alikwenda kunywa pombe siku ambayo kesho yake alikuwa anaingia kazini na mazngira ya kazi yake hawaruhusiwi pombe yule dada alikasirika akamind akihitaji asinywe siku za kaz kulinda kibarua chake kwa manufaa yake na watoto wao kilichotokea yule kaka akaona anafatiliwa akabadilika kabisa.
Kwa kupishana huko mkaka kaona waachane hawaendani Mdada analia Kila siku anataman waendelee yeye atafanya atakabyotena.
Huyu dada Ni upendo? Au utumwa? Mm sielewi ningekuwa mm ningelia nikanyamaza nkasonga mbele..
Kama hatushabiiani lazma amemuona wanaeshabiiana. So hata akiendelea kulia anaemlilia hamkumbuki hata.
Naona siku hizi kuishi na mtu lazma mshabiiane. Wanaume wengine ndo wanataka hamsini hamsini kumbe ukinywa lazma na mwanamke anywe Utakalofanya lazma na yeye afanye. La siivo sio type yako.
Kumbe [emoji15] so huyo kaka katafuta namna ya kusema hampendi.
Kwa Hilo hapana hatujui anampendea nn maana hata ukiuliza anajibu anampenda tu and hata kama Ni hela si kwamba huyo kaka anahela sana Au nn na huyo dada si mtu wa kusema anagharama sana Au anamatamaa ya hela. Sema sijui nn mdada kapenda haelewi mwenyewe kapendea nntatizo vigezo vya wadada ndio huyo kaka anavyo..
sio yeye tu kizazi cha watoto wa mafisadi kinasumbua sana wadada wengi mjini na wana bahati ya kupendwa kweli na hao wadada..
ila wengi wao ni pombe na starehe maana ndio maisha waliyokulia..
mdada mpaka anakupenda sana ni uhakika wa kufanya maisha na wewe..
sasa hao vijana pamoja na ma starehe yao wadada wanawapenda sababu uhakika wa maisha upo..
hata akiolewa ni bonge la harusi ( hii ndoto ya wadada wengi)
pili kuanza maisha hupangi vyumba vya shida shida.. appartment za urithi zipo tayari...
na ana uhakika wa kusaidiwa kimaisha kwa network za hao watoto wa mafisadi..
hayo yote yanafanya mdada ashindwe kumwacha huyo mkaka shida wanachokosea ni kutaka kuwabadilisha hao wakaka ili waishi kama good boys ambayo sio maisha waliyokulia
ah ah ah umenifurahisha, wanaume wanatakiwa kutupenda, na wanawake tunatakiwa kuwatii waume zetu. u hav spoken wellmwanaume ndie anaetakiwa kupenda! mwanamke anafundishwa kupenda! hivyo ukiachwa jua HAJAKUPENDA...... PERIOD!