Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,498
- 6,627
Leo nimeona ambulance inateseka sana kutafuta njia maana kulikuwa nafoleni hapa maeneo ya tazara hadi buguruni chama. Mbele kidogo karibu na daraja trafick anaita magari kutoka njia nyingine kwa mudakidogo.
Nadhani labda alikuwa hajaiona maana ilikuwa karibu na relini.
Vipi kama kutakuwa na bodaboda itakayokuwa inakwenda mbele na kumwambia trafick aite magari katika njia yenye ambulanse, ili mgonjwa awahishwe hospital. Maana sazingine unakuta dereva anapenya penya kwataabu mbaka junction alipo trufik ndioanaruhusiwa.
Ifanyike mbinu mbadala itakayo wahisha wagonjwa, hospital foleni zinatesa sana.