Ambulance za msaada walipewa wabunge wa CCM. Sasa afya ya Watanzania inategemea misaada na michango?

Mbona nilishasema Mpwa?? Hayo ni magari ya msaada! Labda kama kuna maelezo mengine ya tofauti lakini kwa hali hio ni Mali ya Wahisani, huenda ni mabeberu
 
Vitu vingine mbona viko wazi tu Mkuu? Kwani ndio gari la kwanza kutolewa Tanzania likiwa la msaada(DFP)?

Sent using kidole gumba
 
Nuksi zingine za kujitakia. Unapewa msaada wa chakula kwenye nyumba yako yenye njaa halafu unawalisha wanao tuu, wale usio zaa wewe unawalaza njaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…