Ambulance za msaada walipewa wabunge wa CCM. Sasa afya ya Watanzania inategemea misaada na michango?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
CCM wanatumia hata misaada ya wahisani kufanya siasa. Haya magari Namba zake ni DFP - Donor Funded Project
Lakini sherehe ilifanyika na PM akagawa haya magari kama wamenunua ccm na yaka gaiwa kwa wabunge wa CCM.

Hizi ni pesa za Walipa kodi wa nje. Huku ndani Changeni wenyewe

Ccm wanatumia hata misaada ya wahisani kufanya siasa. Haya magari Namba zake ni  ( Original ).jpg
 
Mbona nilishasema Mpwa?? Hayo ni magari ya msaada! Labda kama kuna maelezo mengine ya tofauti lakini kwa hali hio ni Mali ya Wahisani, huenda ni mabeberu
 
Vitu vingine mbona viko wazi tu Mkuu? Kwani ndio gari la kwanza kutolewa Tanzania likiwa la msaada(DFP)?

Sent using kidole gumba
 
Nuksi zingine za kujitakia. Unapewa msaada wa chakula kwenye nyumba yako yenye njaa halafu unawalisha wanao tuu, wale usio zaa wewe unawalaza njaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom