Ndo hivyo 2005 tuli ahidiwa maisha bora kwa kila Mtanzania, yamekuwa ndoto za alinacha wao wanaruka anga kwa anga wanabadilisha ndege kama nguo kila kukicha, malipo hapa hapa duniani.
Na hizi zipo kwenye ofisi nyingi za waganga wakuu wa wilaya(district medical officers) na hata ukienda kwenye baadhi ya vituo vya afya utakuta zinapigwa vumbi tu.