Kioo unachotumia kuangalia nyuma ukiendesha(rear view mirror) ni plane mirror. Images kwenye plane mirror ni laterally inverted yaani ukiangalia kioo unajiona lakini kulia kunakuwa kushoto na kushoto kunakuwa kulia. Sasa yale maneno kwenye ambulance yangeandikwa kiusahihi wewe unaeendesha gari ukiangalia nyuma kupitia kioo ungeyaona kinyumenyume hivyo usingeelewa. Sasa wameyageuza ili plane mirror image(laterally inverted) iyageuze kuwa sawa.Sijui ni kweli hili
Neno AMBULANCE huandikwa kinyume mbele ya gari la wagonjwa ili dereva wa gari la mbele aweze kulisoma vizuri kupitia kioo cha gari lake. Swahili Times on Twitter
Kula like swaafi sana mkuu.Kumbe
Yaani hujamuona Jembekillo umepe like hapo post ya piliAlaaa
Physics form III[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kioo unachotumia kuangalia nyuma ukiendesha(rear view mirror) ni plane mirror. Images kwenye plane mirror ni laterally inverted yaani ukiangalia kioo unajiona lakini kulia kunakuwa kushoto na kushoto kunakuwa kulia. Sasa yale maneno kwenye ambulance yangeandikwa kiusahihi wewe unaeendesha gari ukiangalia nyuma kupitia kioo ungeyaona kinyumenyume hivyo usingeelewa. Sasa wameyageuza ili plane mirror image(laterally inverted) iyageuze kuwa sawa.
Angaliaga sana gari za wagonjwa hasahasa za jwtzPicha tafadhali tuonee