Amber Rose amuanika Kanye kuhusu kumpapasa tezi dume

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Mnasemaga ni uswahii....na hii je!

images

Wenyewe wanaiita prostate massage, kwamba mtoto wa kiume unapokua kwenye game mwanamke anaingiza kidole njia ya hajakubwa...... Wanasifia mshindo wake ni mkubwa mno, Ni kama kui massage female G-spot. Na hapa town mchezo huo upo sana..

Tatizo sasa siku mkitofautiana..... hahahah na haya ma social network! Matokeo yake ndio hayo Yeezy kaanikwa...

Na nilishasikia hapa town the other day mdada anampaka jamaa yake eti wewe ni mngese unakumbuka ulivyokua unaomba ni massage tezi dume yako!!!

Hatari kweli..
 
Mjinga tu huyo mwanamke .
Anatafuta publicity kwa nguvu zote.

Si huyo huyo mwanamke mwakajana alisimama
Akasema nimemsamehe Kanye & wiz khalifa.

Mwanamke anaetangaza mambo ya chumbani aliyoyafanya na mwanaumee au mwanamke hana heshima.

Mambo ya chumbani ni ya chumbani .
End of story.
 
ni hatari kwakweli, ingawa katika hii ishu Amber kachokozwa, kulikua na kutoelewana lugha kati ya wizzy na kanye. wizzy ali mention neno KK katika tweets, kanye akarukwa akili acha aanze kupaka na kumuingiza Amber, later Wizzy aka clarify kwamba KK ni weed, wakaombana msamaha yakaisha...mdada Amber ndio akaanza kujibu mapigo mpaka kufikia hapo
 
Kwani wewe hiyo prostate massage ushai experience????
 
ni hatari kwakweli, ingawa katika hii ishu Amber kachokozwa, kulikua na kutoelewana lugha kati ya wizzy na kanye. wizzy ali mention neno KK katika tweets, kanye akarukwa akili acha aanze kupaka na kumuingiza Amber, later Wizzy aka clarify kwamba KK ni weed, wakaombana msamaha yakaisha...mdada Amber ndio akaanza kujibu mapigo mpaka kufikia hapo

Daaaahhh Kazi kweli kweli vita vya mitandao vina wenyewe.
 
msumari wa mwisho kwa kanye leo-Amber Rose

amber-rose-zoom-251e7a52-ec30-4a78-b748-c1bf2ada835c.jpg

amber-rose-back-zoom-2a7038e5-69f9-46e7-b0fd-f9d6f6353d95.jpg

Hivi huyu dada ni mzungu au mchanganyiko....kuna kijiubantu kidogo!! Davido ali-coment kwa Sporah show kwamba Tanzania is blessed...baada ya kuonyeshwa upande huu kwa masogange.
 
Mwanamke kama amber ni shida hawez ficha siri kwenye mahusiano si mara ya kwanza anasema siri za kanye
 
Ila ya leo kaenda mbali, ni kwamba ana insinuate kwamba Yeezy sio riziki....imagine maneno ya kwenye hiyo t-shirt! ila kuna mdau kasema ni kick...maana kim akiingilia tu paparazzi mauzo ya habari yataongezeka.
 
Mkuu aisifiaye mvua ujue imeshamnyea
Mkuu acha kutusi bana, yani wewe jua tu kwamba mtoto wa kiume akiaanza kuguswa huko tena uanaume wake unaanza kuwa questioned, na ndio theme ya hii thread!
Mvua na hili janga nivitu viwili tofauti....
 
Umekosea,huku duniani hii procedure ni lazima the moment ukilazwa hospital nadhani ukiwa over 40-as a result inaokoa maisha ya wengi
 
Back
Top Bottom