Ambaye yupo tayari

Ambaye yupo tayari

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
4,974
Reaction score
2,492
nipo single natafuta wa kuanzia nae tarehe 14.2.2013 mpaka milele
awe mwanaume mkristo kuanzia miaka 38 na kuendelea kama yupo tayari anipm msg zote zitajibiwa
 
dar nafikisha 38 mwezi wa 12 nadhani nishatolewa kwenye kinyang'anyiro..
 
nipo single natafuta wa kuanzia nae tarehe 14.2.2013 mpaka milele
awe mwanaume mkristo kuanzia miaka 38 na kuendelea kama yupo tayari anipm msg zote zitajibiwa
Weka wazi. wa kuanzia nani nini? Biashara au?
 
Hivi siku hizi na wanaume wanaendewa uchumba eti!!!! Auuuu wanatolewa posa
 
Abbassalun & craverympandana chunguzeni hiyo POST" ni ya mwaka gani! outdated post"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom