Ambao hamjapata Umeme wa 27,000 changamkeni muda si mrefu tunarudi kwenye laki 3

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Kwa jinsi upepo unavyoenda wale wanyonge wa awamu ya tano changamkeni na komaeni maana mshaambiwa YATIMA HADEKI.

Kalipieni umeme fasta muda si mrefu tunarudi tulikotoka. Hata ule mradi wa JHHP naona utaachwa tunarudi kwenye bomba letu la gesi la mtwara na mitambo ya akina Rugemarila.

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Kabisa yaani
 
Kalemani acha uzushi, 27000 imeanza awamu ya Mama.
Vumilieni tu, mbona wenzenu walitumbuliwa wakakaa kimya.
 
wewe upo nchi hii? Kwamba 27,000 imeanza mwaka huu? Ni vizuri kama hujui kitu unanyamaza. wALIOPTA MWAKA JANA NA JUZI ILIKUWA AWAMU HII IMEANZA? Una lako jambo
 
wewe upo nchi hii? Kwamba 27,000 imeanza mwaka huu? Ni vizuri kama hujui kitu unanyamaza. wALIOPTA MWAKA JANA NA JUZI ILIKUWA AWAMU HII IMEANZA? Una lako jambo
Huyo mpumbavu anataka kila kitu kilichofanyika wakati wa kalemani na Magufuli asifie huyo bibi yake maushungi
 
Nimesikia pahala Mkandarasi wa njia ya mwendokasi Mbangala anaambiwa akikosea tena kama alivyokosea kipande cha hiyo barabara mara mbili hadi mara tatu basi asahau kupewa na kuomba kandarasi Tanzania. Ndiko tunako elekea huko unapewa fursa za kukosea.
 
Chini ya CCM nchi haina dira wala mwelekeo.
Kila mtawala ana vipaumbele vyake vya kujifurahisha na rafiki zake, hamna maslahi ya Taifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom