Amazon kindle paper white 3G

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,604
Habari wakuu, ninahitaji kupata kindle paper white 3G kutoka amazon! Nilijaribu kuoda online kutoka amazon.com wakasema hawawezi kuship kwenye address yangu niliyoitoa. Najua kuna watu wanazo humu jf, je kuna uwezekano wa kuipata kwa njia nyingine? Please help me guys, i am really in need of it immediately!
 
Mi ninayo imetumika miezi miwili. Je utatoa shs ngapi? Ina kava la ngozi. Na ni 3G.
 
Je, unayo hii hii new generation/latest? Yaani 'kindle paperwhite 3G+Wi-Fi?' naihitaji hii special for reading, sitako old generations ama kindle fire make hizo ni za luxury tu. Kama uliyonayo ndiyo kama ninayoihitaji basi tell me tumake biashara!
Mi ninayo imetumika miezi miwili. Je utatoa shs ngapi? Ina kava la ngozi. Na ni 3G.
 
Alternatively you can try using ebay. Most of their products can be easily shipped worldwide unlike amazon which is very limited when it comes to where the product can be shipped.
Try checking the same product ebay and see for yourself
 
Thank you so much mkuu hekimatele! I will try it buddy!
Alternatively you can try using ebay. Most of their products can be easily shipped worldwide unlike amazon which is very limited when it comes to where the product can be shipped.
Try checking the same product ebay and see for yourself
 
Last edited by a moderator:

Hata amazon wanaship almost worldwide, mi nimenunua kindle fire hdx kutoka amazon. na wameship bongo
 
Mkuu nitaomba unielekeze namna ya kuorder may be nilikosea mahali japo walikuwa wanasema product yangu can not be shipped to that address, kipindi hicho nilikuwa naishi Bukoba na address nilikuwa natumia ya huko!

Kama unanunua kitu amazon. ikiwa utanunua direct kwao basi ukifika kwenye ile page ya ku confirm address, watakwambia kuwa hicho kifaa hakiwezi tumwa kwenye location yako, we angali mpaka mwisho wa sentence utakuta wamekupa option ya kwenda kwenye web yao ya international (kumbuka wakati huo utakuwa uko kwneye web yao ambayo ni american based) kwa hiyo unachofanya una click kwenye hiyo link ya "amazon international" hapo utakuta umepelekwa kwenye web yao ambayo unaweza ukanunu chochote ambacho wanakiuza na kikaweza kuwa shipped tz. ofcoz price itabadilika kidogo. wanaongezaga hapo kama 15 to 50 usd from the original prices

NB: maelezo ya hapo juu ni ikiwa tu kitu unachonunua wanauza wenyewe amazon. ikiwa utanunua kwa third party (re seller wao), then unatakiwa uangalie kama huyo re seller amesipecify conditions za shipping (shipped worldwide ) kama hajaspecify amazon hawawezi kuruhusu hiyo transaction kuendelea watakwambia u consult na muuzaji.

angalizo chagua reseller ambao wako approved na amazon wenyewe kwa kuangalia details zao

angalia pic za hdx ambazo nimenunua 29th nov. na nimeipokea leo 4th dec,wametuma by UPS

Thanks mkuu Fredwash, I will do it and I will let you know! Mkuu nimekiona kitu chako umezidi kunitamanisha sana! Namisi sana kupata ebooks of my interest kutoka amazon!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu imegharimu kiasi gani hii?
 
Mudawote
Mi nina TSh 200,000 kama unaiuza hiyo kindle paper white 3G.
Kama kuna maelewano zaidi nicheki kwa no. 0784 707789
Asante.

Mi ninayo imetumika miezi miwili. Je utatoa shs ngapi? Ina kava la ngozi. Na ni 3G.
 
Alternatively you can try using ebay. Most of their products can be easily shipped worldwide unlike amazon which is very limited when it comes to where the product can be shipped.
Try checking the same product ebay and see for yourself

The problem shipping is not on eBay and Amazon .The problem is our postal service ,because you can track your item which you have bought as far as Europe with special barcode number ,once it your item arrives in Tanzania you cannot track it ,hence the issue of security is paramount to senders
 
Heshima MbeleMkuu, I agree with your, but in case you haven't notice, both E bay and Amazon or any other online retails in particular, they have options on shipping the device in so many different ways, you can have you item shipped by using DHL, UPS and the alike,and it will take from 3 days to 7 days depends on option you have chosen,

remember you choose shipping method yourself and this will have an effect on your final bill for the payments, if you want your item ASAP then you have to pay more e.g fast track will take only 3 days, ( i always use fast track option when buying item online) and they send it either UPS or DHL

normally for those items that have "free shipping" tag, the seller is not going to charge you the shipping fee, but then he will choose the cheapest shipping method regardless of how many days/month it will take to reach you, and in this case he will definitely choose postal as his shipping method,and you can guarantee its going to take at least a month to reach you, if it will each you at all. i have experience on this, i took almost a month to receive just a simple watch i bought online + hard case for my kindle hdx

In additional
1. if your item is going to be sent by dhl, ups then you will definitely get a tracking number, and you will track you package up to the last point, in weather its DSM or BUKOBA

2. most of the item sold by third part they have a tendency of using postal services, but for the E bay or Amazon themselves, the always use the fastest and reliable shipping agents
 
Thank you so much for your fertile and productive information!
 
Me naweza kukununulia amazon kwa pesa yako mwenyewe lkn nitakucharge mpaka kukutumia bongo kwa £40 zaidi ya bei uliyonunua...kama huko tayari ni PM nikutumie details za kutuma pesa
.
 
Thanks mkuu kwa offer, nimeshapata alternative!
Me naweza kukununulia amazon kwa pesa yako mwenyewe lkn nitakucharge mpaka kukutumia bongo kwa £40 zaidi ya bei uliyonunua...kama huko tayari ni PM nikutumie details za kutuma pesa
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…