Amazing! Mapacha wanaochangia mwili mmoja

Kila mmoja ana moyo wake, tumbo lake, uti wa ngongo wake (kwenye mwili huo huo) na kila mmoja ana control upande wake...yaani mguu mmoja na mkono mmoja...so ikifika sehemu amabyo inahitajika "coordination" wanaunganisha matendo kama kupiga makofi, kutembea, kuendesha gari, kuendesha boti....kuandika na kufuta nk....



na kidato wamepiga kama kawa na kufaulu




furaha tele wenyewe wala hawana wasiwasi
 
Two brains. Ukiajili mmoja sawa na kuajili watu wawili!
 
Wanajifanya wana raha sana eh? Ngoja mmoja apate boyfriend uone hilo kasheshe litakalozuka!
 
Wanajifanya wana raha sana eh? Ngoja mmoja apate boyfriend uone hilo kasheshe litakalozuka!

Naona hujakutana na vibweka wewe

INDENTICAL TWINS WHO SHARE EVERYTHING INCLUDING A BOYFRIEND




Victoria and Amanda Hepperle: Meet the twin sisters who share everything - including their BOYFRIEND - Mirror Online

WENGINE HAWA HAPA



Na wengine hawa hapa tena...list goes on




chanzo : ‘It's Like We're One Person In Two Bodies' – US Twins Haven't Spent 30 Minutes Apart In 15 Years | Her.ie - The website for Irish women
 
Wanajifanya wana raha sana eh? Ngoja mmoja apate boyfriend uone hilo kasheshe litakalozuka!

nahisi na papuchi yao ni moja.. kasheshe itatokea pale huyu anataka kutiwa na huyu lakini huyu hataki
 
I'm still wondering how can they perform involuntary activities, maintain balance when walking, etc.
 
Sawa kashengo, lakini hawa sio conjoined. Nilikuwa nazungumzia wale conjoined.
 
Last edited by a moderator:
Wana papuchi moja sasa sijui kileleni wanafika kwa zamu .. Hapo ndo nashindwa kuelewa...!!!??
 
Dah.... Kama kila mtu ana moyo wake sasa mmoja akifa je inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…