Hapa tabasamu litapotea bwana mamba akirudi nyumbani.
Na njaa....aaah wapi, mamba nae ana moyo na hisia ujue.
Na njaa.
๐คฃLove conquers all! Including njaa japo vijana wanasema njaa haina baunsa.
uwezo wa kulisakata rhumba mwezi mzima unao?Wiki sasa mbona ndogo, atlist mwezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Are you dreaming ama unaishi humo!!??
I am dreaming dude, what about you?Are you dreaming ama unaishi humo!!??