Kama ni kweli. Nawashauri dada zangu acheni kupenda vya kupewa na kulipa kwa kutoa miili yenu ifanyiwe uchafu.
Fanyeni kazi dada zangu, msipende umaarufu wa kuendesha magari ya kifahari kwa malipo ya miili yenu, itawagarimu maisha yenu yote.
Poleni sana, ila mtawauwa wengi wasiokuwa na hatia.
Sioni kama kuna ubaya wa kuwaelezea watu ukweli wa mambo, kwasababu sasahivi ukimwi utatumaliza watanzania. Namuomba rais ikiwezekana na wanaosambaza ukimwi kwa makusudi nao wapigiwe kura.
Members tutoe habari za kweli na za uhakika, tusilete mambo ya uzushi.