Amatus Liyumba ashinda kesi

Amatus Liyumba ashinda kesi

okay, asante kwa kukiri kuwa jamaa alituingiza mkenge wa bil 220.
haya sasa hebu niambie mimi na wengine wasiojua kama mimi sababu ya liyumba kufungwa.

do ur research.....mimi nimekusaidia, kosa la matumizi mabaya ya ofisi 'sio kosa lililomfanya afungwe'.....mengine tuwaachie baba na mama.
 
kwa kuiingiza hasara serikalina watanzania tsh. bil 220. you are not serious.

ukiiba pesa nyingi haufungwi na ukifungwa haizidi miaka 7, nayo utatumikia miaka 3.5 unatoka. unamkumbuka yule mama wa NBC miaka ya 92- 94
 
ukiiba pesa nyingi haufungwi na ukifungwa haizidi miaka 7, nayo utatumikia miaka 3.5 unatoka. unamkumbuka yule mama wa NBC miaka ya 92- 94
mkuu tunajua nguvu ya wenye pesa lakini ni vizuri tukapata hata pa kuanzia. huenda watakaokuja wakawa more serious kwa hili jambo.
 
do ur research.....mimi nimekusaidia, kosa la matumizi mabaya ya ofisi 'sio kosa lililomfanya afungwe'.....mengine tuwaachie baba na mama.
pole mkuu kwa kunidhihirishia kuwa huna jibu. kwa kifupi hujui kitu acha kuzuga. unanikumbusha ishu ya mabilion ya uswisi ya zitto, kumbe hana jina/account hata moja. pole.
 
okay, asante kwa kukiri kuwa jamaa alituingiza mkenge wa bil 220.
haya sasa hebu niambie mimi na wengine wasiojua kama mimi sababu ya liyumba kufungwa. tafadhali hebu nitajie hao wengine. maana ninachojua ni kuwa kweka alionekana hahusiki.

hao wengine si wa benki kuu ''mtazamo wangu ni wa kitaifa zaidi''..............huitafuna hii nchi kiasi kwamba ukisikia .....:a s 13:
 
ukiiba pesa nyingi haufungwi na ukifungwa haizidi miaka 7, nayo utatumikia miaka 3.5 unatoka. Unamkumbuka yule mama wa nbc miaka ya 92- 94

yep mie namkumbuka anaitwa sara simba ulanga.......nchi hii ukiitumikia kwa moyo safi utakufa maskini na hakuna ambaye atakukumbuka kwa utumishi wako safi uliotukuka.........ila ukipiga issue mzito utaheshimika na mifano mnayo...........
 
pole mkuu kwa kunidhihirishia kuwa huna jibu. kwa kifupi hujui kitu acha kuzuga. unanikumbusha ishu ya mabilion ya uswisi ya zitto, kumbe hana jina/account hata moja. pole.

sawa kaka sijui kitu....ila pigeni tu kelele humu sie tunawachora tu.
 
Hivi hiyo kesi alifungua nani? issue hapa ni simu iliingiaje gerezani
 
Back
Top Bottom