Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,115
- 12,544
SureAmapiano ya bongo ndio amapiano bora kuliko ya south,
Amapiano ya bongo kinaimbwa k2 knaeleweka,wasouth n makelele tu. "Amajugujugu eee" ndo nn..?
Kama ww ungekuwa producer alafu Kila anayekuja ofisini kwako anataka beat la amapiano ungekataa?Inakera sana kuona Kila ukifungua channels za tv au redio unakuta a na hiyo miziki ya amapiano. Tena Kila msanii wa Tanzania!
Hovyo hovyo...maproducer wamekuwa sio wabunifu tena.
Ndicho wabongo walichobaki nacho sahvi wanakujuwaInakera sana kuona Kila ukifungua channels za tv au redio unakuta a na hiyo miziki ya amapiano. Tena Kila msanii wa Tanzania!
Hovyo hovyo...maproducer wamekuwa sio wabunifu tena.
Kuna amapiano moja ya Facalistic inaitwa "TOBETZA" Aiseeeee... Wabongo wangeendelea Tu na singeli piano waachie watoto wa Mandela.. South ndo kina pianoHizi Amapiano toka zilipo anza kuvuma South Africa na wasanii wengi wa Afrika kuanza kuzifanya Wasauzi wamebaki kuwa watabe wa huu mziki.
Wasanii wengi wa nje ya South Africa wanaofanya na wanao jaribu kufanya Amapiano ni kama wanapiga makelele tu hapa nawazungumzia hasa wabongo na Wapopo.
Amapiano za Wabongo na Wapopo wanazichanganya na mabongfleva na maafrobeat mpaka ladha halisi ya Amapiano ina potea kabisa zinabakia kelele.
Wasauzi wanapiga Amapiano kismooth fulani hivi mpaka unafurahi ukikutana na DJ aliepangilia Amapiano za Kisauzi na mwengine anapiga za kibongo na kipopo utofauti wa ukali wa Amapiano ndio utauona.
Ata dance moves za kiamapiano za Wasauzi zipo smooth tofauti na Wabongo na Wapopo maguvu mengi mpaka jasho.
View attachment 2709181
Unaweza taja Amapiano zako kali kutoka kwa wasouth unazo zielewa hapa down
Nakubali. Kizulu kinasound fresh kwenye Amapiano mpaka rahaMuziki wa amapiano wa south hakuna wa kuufikia ni bora sana , Music ukiimbwa kwa ligha yake iliyoasisiwa nayo inakuwa na ubora wajuu, ukiimbwa kwa lugha nyingine unapoteza ladha
Kwa Mfano hiphop(USA) wasanii wengi wanarap kwa lugha zao duniani lakini zote hizo hazina ladha kama hiphop ya America, sikiliza maneno yanavyotamkwa na jinsi wanavyonata na biti inafurahisha sana , hata na rnb ni hivyo hivyo.
Yamoto sana hio AmapianoMangdakiwe ke star ya focalist ni beat amapiano ever
Hao watoto wa Mandela hivyo ndivyo vitu vyao wanavipiga vile inavyo takiwaKuna amapiano moja ya Facalistic inaitwa "TOBETZA" Aiseeeee... Wabongo wangeendelea Tu na singeli piano waachie watoto wa Mandela.. South ndo kina piano
Mkuu viota hivyo ulivyovitaja vipo safi sana, loooooo Bob's Bar, Cubana,...kwa S ....ni amapiano ya nguvu, tupige mziki wetu why tuige ya watu?Ebwana lile dude la uncle waffles linaitwa Tanzania..last week nilikuwa pale longstreet capetown mtaa wa mapopo hilo dude lilinikosha kwakweli tena msauz kaisifia nchi yangu,, from beerhouse to bobs bar to souk to coco yaani clubs kibao lilikuwa ni hilo dude tu. Ukweli ni kwamba amapiano OG ya sauz ni muziki unaotengenezwa na sound engineers most of producers and DJs in south africa ni sound engineers. Amapiano bongo ni makelele tu ya s2kz hayawezi kupigwa hata MTV maana mixing ni uchafu na nyie mnaokesha kidimbwi chungeni sana maskio yanu maana mnasikiliza uchafu nyimbo hazina quality ni kelele uzeeni mtakuwa viziwi muanze kusumbua. Ushauri wangu tusiige wenzetu hawafanyi amapiano kutafuta jina wasauz muziki ni part ya maisha yao kila kona ukipita utakuta kwaya zinaperfom mitaani au vijana wanatumbuiza mitaani kila kona utakuta watumbuizaji wenye vipaji mitaani tu sasa bongo watu wanatafuta kiki tu.
Back up vocal wanaitikia😀😀( zile ni kwaya sio Amapiano haaaaaah).Wabongo amapiano zao wanapiga makelele halafu,back vocal wanaitikia😀😀full makelele ,
Sio poa mkuu izo toto za kikhosa mizigo kama yote ule mtaa una balaa vibe kama lote noma sana🔥🔥🔥 nikipata nafasi mwakani lazima nikazurure tenaMkuu viota hivyo ulivyovitaja vipo safi sana, loooooo Bob's Bar, Cubana,...kwa S ....ni amapiano ya nguvu, tupige mziki wetu why tuige ya watu?