Amapiano ilivyoniletea balaa

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,113
3,489
Habarini za jumapili,

hii miziki naisikiaga tu kwenye maklabu nikapendezewa na midundo yake. sasa jana usiku nikaingia yutyub na kuandika amapiano nikakonnect blue tuth na hii home theater yangu.

nikaanza kujiachia ile midundo ikanifanya nipate mzuka na kujikuta naongeza sauti zaidi na kutetemesha bati la nyumba. nikiamini baba mwenye nyumba hayupo coz ni mzee wa ruti kumbe alikua asharudi safari usiku ule na yupo dani.

sasa hivi karudi kutoka chachi kasema baadae ana kikao na mimi pamoja na wapangaji wenzangu.

nivyomuuliza mpangaji mwenzangu akanambia nijiandae tu mana notisi inanihusu.
 
Awiii .......awaaaaaaa nyumba za kupanga zina kwele kweri kweri 😄 .Tutafute hela tusimamishe vichuguu vyetu, mkuu ukitonga kikaangoni utupe feedback
 
Hilo ni kosa kisheria kupigia watu makelele we omba tu msamaha. Kuna club zimefungwa na kuna watu wamepigwa faini sababu ya makosa kama hayo.
 
Sasa km nyimbo zenyewe ndy hizi za kina harmonize na Baba mwenye nyumba ni Mzee wa kanisa Kwa nn asikupe notisi!!

Me nataka kutoooo_kuto /
Kutoa mahali uwe wangu/

Leo nataka kukutooo_ kutooo/
Kukutoa kwenu uje kwangu/

Saidi kichwa nitamuweka wapi na mkongo nishampakaza/

Jiandae leo nakuto_kuto_kutoa out/
Me na hamu ya kuto_kuto_ kutoka na wewe
 
Nawaone wivu sana mliopanga mi mwenzenu ni kama tid naelea miaka 30 lakini bado naishi kwa mama na dira siielewi mpaka sasa na vyuma hivi
 
Back
Top Bottom