Amani

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
Tanzania tuna amani au utulivu? Kama tuna amani vipimo vya amani ni vipi, chanzo cha amani hiyo kinatoka wapi?
 
Hatuna amani ila tuna propaganda za kuwa kuna amani. Vikongwe wanauliwa, maalbino wanauliwa, mapigano yawakulima na wafugaji kule kilosa, mauaji ya mwembechai na pemba na haya ya NYAMONGO MARa. Amani ipo wapi hapo sasa.
 
Back
Top Bottom