Amani ya Tanzania

Amani ya Tanzania

Joined
Oct 11, 2015
Posts
14
Reaction score
1
Amani ya mama Tanzania iko mikononi ya sisi Watanzania haswa sisi vijana tulio na nguvu za kutosha maana kesho inatuhusu sana.
Natoa rai kwa kila Mtanzania kutimiza wajibu wake wa kulinda amani ya Nchi hii kuanzia viongozi wa vyama vya siasa, Taasisi za Dini, Asasi za Kiraia, Tume ya Uchaguzi lakini pia Wananchi tuchunge sana ndimi zetu haswa wale vijana wote wenye mihemuko kutoka Lumumba na Ufipa.
 
Watanzania ni wamoja, na tutazidi kuwa wamoja daima. kamwe tusiwaruhusu wavuta bangi, wanywa viloba, malofa, na wapumbavu wanoendekeza udini, ukabila, na ukanda watuharibie amani yenu. tuwakatae na tuwaogope kama ukoma. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mkuu naona hukuwataja Polisi hapo! Au wao ndio pekee wanaruhusiwa kuvunja amani Tanzania? Mungu Ibariki Tanzania.
 
mods kafuta yangu kaacha hizi junks....soon na mods nao wanavuka tuu km akina lipumba.
 
Acha maneno ya kiLumumba wewe,Amani ni zao na tunda la Haki kama hakuna Haki na Usawa kwenye Jamii Amani utaisikia Mbinguni tuu. Hata mkikesha makanisani na misikini ni kazi bure. Unahubiri amani kwa Vijana wakati hao Vijana hawana kazi,hawajui kesho yao ipoje,wananyanyaswa,wanadhulumiwa,hawana mitaji ya biashara na wanapewa kesi za uongo kila uchao hiyo amani itatoka wapi?
 
Watanzania ni wamoja, na tutazidi kuwa wamoja daima. kamwe tusiwaruhusu wavuta bangi, wanywa viloba, malofa, na wapumbavu wanoendekeza udini, ukabila, na ukanda watuharibie amani yenu. tuwakatae na tuwaogope kama ukoma. MUNGU IBARIKI TANZANIA

Haki ikitawala Amani itatamalaki.
 
Back
Top Bottom