Habari Zenu wana Ukumbi,
Baada ya salamu
Napenda kuwasihi sana Watanzania wenzangu kuwa tunaelekea katika kipindi cha uchaguzi. Tujitokezeni kwa wingi ktk Kampeni na tudumishe amani mda wote na ikibidi kampeni zetu ziwe za kistaarabu. Matusi sio silaha ya kumuangusha mpinzani wako, ila sera zako za ukweli ndio zitakazoweza kumuangusha mpinzani wako
Ama katika suala la kuchagua usishawishiwe na mtu yoyote kwa kukulaghai (kukupa rushwa) maana rushwa ni adui wa haki, fanya chaguo ambalo unahisi nini moyo wako unakwambia na sio unachagua ati kwa kuwa fulani amekwambia uchague
Zaidi tumuombe sana Aliyetuumba atudumishie amani katika nchi yetu tuzidi kupendana na isiwe siasa ikaja kutufarakanisha
Asante