Amani na iwe kwenu Great Thinkers!

Chikwangara

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
685
Reaction score
942
Kutokana na umuhimu wa jf nimeamua nami kuingia jukwaani humu ili niweze kushiriki katika mambo mbalimbali ni matumaini yangu kuwa kuna ex-seminarians wengi ambao wamenitangulia ila nasema tupo pamoja kwenye 'Movement For Change'
Hodii jamani
 
Attachments

  • i.jpeg
    1.4 KB · Views: 64
Karibu sana, amani iwe nawe pia!
 
Kutokana na umuhimu wa jf nimeamua nami kuingia jukwaani humu ili niweze kushiriki katika mambo mbalimbali ni matumaini yangu kuwa kuna ex-seminarians wengi ambao wamenitangulia ila nasema tupo pamoja kwenye 'Movement For Change'
Hodii jamani

Karibu sana mkuu,na iwe kweli M4C.
 
Vidole 2 juu,Thanks great thinkers who think alike Im now feeling at home!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…