sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Apr 12, 2013 #1 Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo. yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
Habari wana JF, nimekuwa msomaji wa jf kwa muda mrefu ila leo na mimi nimeona nijiunge rasmi niweze japo kuchangia hasa katika maswala ya kisiasa zaidi na niweke wazi kuwa I HATE CCM, na sababu ninazo. yote ya yote naombeni mapokezi yenu wandugu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,419 Reaction score 3,050 Apr 13, 2013 #2 Karibu JF.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,329 Reaction score 111,557 Apr 13, 2013 #3 Karibu sana JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,961 Reaction score 13,938 Apr 14, 2013 #5 Karibu sana JF.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Apr 14, 2013 #6 Eee bwana eee kwel umekuja na bonge la mkwara. karibu lakini.