Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
"Injinia Hersi Said ametuthibitishia kwamba ni mfanyakazi wa GSM na wakati huohuo ni Rais wa klabu ya Yanga... a conflict of interest (Mgongano wa kimaslahi). Inapotokea kwamba wewe ni kiongozi wa klabu, halafu wewe pia ni sehemu ya watumishi wa kampuni inayodhamini hiyo klabu. Inapotokea conflict of interest anasimama upande gani? Hili ni tatizo la kwanza ambalo Yanga wenyewe wanatakiwa walione", Golugwa.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara Amani Golugwa akizungumza na Jambo TV siku ya Ijumaa juu ya mchango unaodaiwa kutolewa na klabu ya soka ya Yanga kwenda kwa CCM.