Ama kweli majuto ni mjukuu..

Hakuna nidhamu kwenye laki 3 mkuu, nidhamu ya hiyo senti ni kula tu. Ukiipa nidhamu senti yako hiyo utakufa na njaa.

Nidhamu inayojadiliwa hapa ni fedha (siyo senti), yaani kipato cha mamilioni kwa mwezi (mil 2, 3, .....).
Mkuu hiyo ni ishara kwamba nidhamu yako ni ndogo sana, unadharau laki 300000? wewe kweli hamnazo
 
Kwahiyo hata kajumba hukubahatika kupata mkuu?
 
hakika ni kweli
 
Miaka 4 nmeishi kama shetani nisie na mbele wala nyuma , hiyo ni baada ya uko nyuma kuchezea hela . Nilizani sifa walizokuwa wananipa walimaanisha nikajiona napendwa kila kona napopita yeyote akiniomba buku Nampa buku mbili, wa elfu tano Nampa bila kujiuliza mara mbili , kumbe ilikuwa inapendwa pesa tu sikujua ilo , nilivoishiwa sikumuona yeyote kati yao sio ndugu , sio rafiki, walaa wale mademu waliokuwa kutwa kuniita beb... Kwenye simu yangu walibakia watu wawili tu waliobaki kunitafuta na kunijulia hali , Mama yangu na mke wangu pekee ndo walibakia kuwa wafariji wangu.... Leo Mambo yamerudi kuwa sawa baada ya msoto mkali , kiukweli nmejifunza vitu vingi sana ... Pesa yangu kuja mtu kuila kizembe sio rahisi aisee , pesa yangu saiv inaenda kwenye vitu muhimu pekee ....
 
Nadhani nimemkosea Mungu, ndugu zangu na mtoto wangu sana nimejikuta ndani ya miezi 7 nimeonga zaidi ya 10M kweli kama kurongwa kupo sasa baada yakutafakari zaidi demu anapigwa machine na mtu mwingine nimebidi ni shut down kila kitu nijipange upya tena.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…