Pilocarpine
Member
- Jan 28, 2018
- 27
- 27
Pesa huwa zinatufanya tunajisahau sana.. hasa hela za dili za chap chap! Wewe sio wa kwanza ukija kuzipata tena utarudia ujinga uliokuwa unafanya...Bila nidhamu ya pesa kwenye haya maisha,lazima kuna siku lazima utakuja kujutia.
Hiyo ndo hali niliyonayo saivi
Vijana wenzangu hasa ambao bado hatujawa na source ya kudumu ya kupata kipato,tuheshimu sana hela.
Nakosa hata hela ya kula kweli!,majuto kweli ni mjukuu.
Hakuna nidhamu kwenye laki 3 mkuu, nidhamu ya hiyo senti ni kula tu. Ukiipa nidhamu senti yako hiyo utakufa na njaa.Mnapotaja nidhamu ya pesa...tusaidieni tusaidieni tusaidieni tusaidieni wenzenu tunashindwa nikipata laki 3 (300,000/=)monthly nifanyeje
'Mungu' ni mdudu gani huyo mpaka ashiriki katika kipato changu!Mungu asiposhiriki na kuhusika katika kipato chako, nidhamu and all other staff ni porojo tu.
Hata kama ni ndogo bado naamini lazima uwe na discipline nayoHakuna nidhamu kwenye laki 3 mkuu, nidhamu ya hiyo senti ni kula tu. Ukiipa nidhamu senti yako hiyo utakufa na njaa.
Nidhamu inayojadiliwa hapa ni fedha (siyo senti), yaani kipato cha mamilioni kwa mwezi (mil 2, 3, .....).
pamoja mkuu,kupambana ni lazima kuendeleepole sana mkuu endelea kupambana
Kweli nidhamu ndo kila kitu,nimeamini hilo kwenye changamoto nilizonazo.Aiseee pole sana,.nidhamu si kwenye pesa pekee,.MAISHA kwa ujumla yanahitaji nidhamu ya hali ya juu...
NB:hujala bado mpaka SAA hii?!
kama kawa bropamoja mkuu,kupambana ni lazima kuendelee
Mkuu Mungu shughuli yake kubwa ni kukupa uhai na kuulinda, mengine ni jukumu lako.Mungu asiposhiriki na kuhusika katika kipato chako, nidhamu and all other staff ni porojo tu.
Ni kweli kwa unayoyasemaMkuu Mungu shughuli yake kubwa ni kukupa uhai na kuulinda, mengine ni jukumu lako.
Tumia kipato chako kwa busara, huo ndio msingi pekee wa kufanikiwa katika malengo yako.