Wakati nipo
secondary school kulikuwa na dada mmoja hivi.huyo dada kusema ukweli
alikuwa havutii kabisa,alikuwa mbaya wa sura hadi shape yani hilo bichwa
mchogo unautazamia kule, sura ndiyo usiseme, mchafu mchafu hivi.
Kama mnavyojua milima haikutani ila binadamu hukutana. Jana nimebahatika
kukutana naye. aisee, dada amekuwa mrembo huyo yani amekuwa na shape
ile anayopenda shekh kipozeo. amekuwa ana mvuto wa ajabu, kuanzia sura
mpaka shape.
Aisee nilipigwa na butwaa takriban robo saa hivi amebadilika sana, kweli
duniani hakuna mwanamke mbaya.
Kwa uumbaji huu, mwacheni Mungu aitwe Mungu wallah.