Njoo nikupe maisha mazuri mttWamekusikia mkuu
Sipo huko mie kabisaBila shaka nawe umenisoma vyema ...
Bolts zimegoma
Nenda kwa mayatima ukatoe msaadaNjoo nikupe maisha mazuri mtt
Jibu unalo weweKwamba umekufa au!?
Noshawasaodoa sana..nataka nikusaidie ww..acha ujinga nikubalie mttNenda kwa mayatima ukatoe msaada
Hahahaahaaa....Kuna mmoja nipo nae hapa anapiga Safari ndogo ananiuliza hizi Safari ndogo siku hizi ni imported kutoka South Africa namuuliza kwanini ananiambia zimekuwa tamu sana na hazina hang over asubuhi nikamuuliza na zile Savannah ulizokuwa unakunywa vipi akanijibu siku hizi hazina ladha eto Wachina wanazichakachua.
tena we ringa kabisa maana umewahiwa wenzio huku mmmhWamekusikia mkuu
Kuna mwingine muda so mrefu alikuwa anapiga nyagi, hii sitasimulia! Ndo hao mnaitaga ma cute! Vyuma vimekaza!Kuna mmoja nipo nae hapa anapiga Safari ndogo ananiuliza hizi Safari ndogo siku hizi ni imported kutoka South Africa namuuliza kwanini ananiambia zimekuwa tamu sana na hazina hang over asubuhi nikamuuliza na zile Savannah ulizokuwa unakunywa vipi akanijibu siku hizi hazina ladha eto Wachina wanazichakachua.