Ama hakika kweli sasa maisha magumu.. Sikuwahi waza ombwa BINGWA NA DEM WA CLASS HII

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,031
22,556
Hivyo tu...

Those girls that u used to call hot chicks...nw turned to frozen bones.

Sipendi mademu walivyokuwa wanariga..

Ila pia wanavyodhalilika sasa .men ni aibu.

My take..

Hivi vyama tetezi kwa wanawake kama walivyojinadi tangu hapo awali.
Vijikite sasa kuwashawishi hawa ma nini cjui..cute girls walau walime hata mchicha...wakaange vitumbua...wachome chapati..

Its high time now to have real fingers... Working fingers.
 
Kuna mmoja nipo nae hapa anapiga Safari ndogo ananiuliza hizi Safari ndogo siku hizi ni imported kutoka South Africa namuuliza kwanini ananiambia zimekuwa tamu sana na hazina hang over asubuhi nikamuuliza na zile Savannah ulizokuwa unakunywa vipi akanijibu siku hizi hazina ladha eto Wachina wanazichakachua.
 
Hahahaahaaa....

Mküu nikushukuru tu kwa kuja.
 
Kuna mmoja nipo nae hapa anapiga Safari ndogo ananiuliza hizi Safari ndogo siku hizi ni imported kutoka South Africa namuuliza kwanini ananiambia zimekuwa tamu sana na hazina hang over asubuhi nikamuuliza na zile Savannah ulizokuwa unakunywa vipi akanijibu siku hizi hazina ladha eto Wachina wanazichakachua.
Kuna mwingine muda so mrefu alikuwa anapiga nyagi, hii sitasimulia! Ndo hao mnaitaga ma cute! Vyuma vimekaza!
 
data hukumuelewa tu huyo "hot chick"! Ina maana hapo hakuwa na hela hata ya nauli au hata kula hakuwa amekula. Halafu mtu mmoja anajisifu eti uchumi upo juu. Hajui hata dhumuni la yeye kuwa kiongozi. Anapaswa kuonesha njia (si kuweka chakula mezani) ya wananchi kuwa na uwezo mzuri wa kutimiza mahitaji yao yote muhimu. Lakini yeye anajisifu kukomesha Watanzania. Hectic!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom