Am so lonely...

Hivi shule zinafunguliwa lini? Wameanza kuleta inzi na maembe yao

Shida ni kwamba nimegundua hata shule zikifunguliwa bado vijana wa kizazi hiki huwawezi bado wanakwenda shuleni na simu wenyewe wanaita kupiga nyoka wanawasiliana wakiwa bwenini!
 
Aiseee! Jamaa angeweza kung'oa watoto wazuri hapa Ila anaondokana bado toto upo.
 
Kaizer hujalala tu? Mjibu NN mbona una like like tu? Lols
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…