Mwongozo wa kwanza andika kiswahili usilete kiingereza cha kuunganunga.
Muongozo wa pili usiwe chawa wa ccm .
Muongozo wa tatu tunasema nimekuwa nikipitia sio mekua nkipitia ukiandika hivyo unakua huna tofauti na
MZURI SANA ukijipekecha kwa kauli hizo utapakatwa na
UMUGHAKA
Muongozo wa nne kuja jamaa anaitwa
GENTAMYCINE huyu usimvuruge wala usilete ujuaji
Muongozo wa tano jitahidi kutoa likes kama
raraa reree au
Leejay49