Anna Maria Buberwa
Member
- Oct 3, 2017
- 65
- 121
Karibu sana JF mkuu Anna Maria Buberwa,
Asante kwa kujiunga nasi. Bila shaka umezisoma na kuzikubali sheria na kanuni zinazotuongoza humu. Kama bado, zipitie hapa tafadhali > JamiiForums Rules
Ili kutumia huduma zetu, mwanachama anayejisajili ana nafasi ya kuchagua aina mbili za ushiriki;
1. Anonymity (kutumia jina lisilo halisi kwa ajili ya kulinda faragha)
2. Verification (kutumia jina halisi/utambulisho rasmi).
Kwa kuwa umejisajili kwa jina unalodai ni lako halisi, huna budi kuthibitisha ID yako.
Ili kuthibitishwa: Tunaomba ututumie copy ya kitambulisho au nyaraka yoyote inayotambulika kisheria (Passport, Leseni, Kitambulisho cha Taifa au cha Mpigakura n.k.) kwenda support@jamiiforums.com
NB: Tutakuwekea alama ya kuonyesha uthibitisho itakayosomoka 'verified user' kwenye username yako.
Karibu sana.
Karibu mrembo.Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Thanks
karibu sana .naomba niwe dada yako wa hiariHallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Thanks
Asante dadakaribu sana .naomba niwe dada yako wa hiari
Yes misskaribu sana anna maria .... hiyo picha ni wewe?
una kaka alie single?Asante dada
kwa kweli uu mrembo karibu mrembo...... anamaria mmoja namfahamu sema yeye ni black beutyYes miss
anayetaka kulelewauna kaka alie single?
Naye ni wa bukoba?kwa kweli uu mrembo karibu mrembo...... anamaria mmoja namfahamu sema yeye ni black beuty
wazee wa fursa nawaona mnavonyapia nyapiammh karibu pm anna maria nipo dar pia tunawez kua great friends of benefits
Thanxmmh karibu pm anna maria nipo dar pia tunawez kua great friends of benefits
osterbay hawana tabia hizo bnaanayetaka kulelewa
Buberwa kama jina lako halisis abandone this. Humu kunafaa anonymity!Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Thanks
osterbay hawana tabia hizo bnaanayetaka kulelewa
haya bana ila wengi hey mamaosterbay hawana tabia hizo bna
Wahaya bhana...Hallo friends my name is Anna Maria Buberwa, aged 24 years old,
Am from bukoba, though now am living in Dar es salaam Oysterbay,
Thanks