Am I wrong if I process divorce?

Nashukuru sana..nilisha move on muda mrefu na sijawahi kunyanyapaa single mother tena raha sana kuishi bila kuulizwa na kuudhiwa😄 japo yeye bado ananifanyia visa vya mbalimbali na distance yote.
 
Asante nilishafanya na kukubali kuanza upya. Maisha yangu yalikuwa hatarini. Chochote kinachotishia uhai wako si cha kukifumbia macho. Kwangu ilitosha.
 
Pole dada..kama you are god fearing person..basi simama kwenye maombi. Mungu akufariji na utumie pia akili yako...ya kusave for your life. Nyenyekea tu ...kama mungu atakavyo..but you real need to be seriou in prayer...sio unajihurumia...if you hv to fast fast seriously....tafuta uso wa mungu kwa bidii yote and will heal your marriage.

Naamini kuwa mumeo anakupenda..ndio maana anatafuta suluhu kila ukiondoka..but what keep him away from you ni shetani..na huyo hafukuzwi kwa kulialia..anafukuzwa kwa neno lenye mamlaka..nguvu ya mungu tuipatayo ktk maombi ya kweli kabisa. Tafuta watumishi wenye hekima wakyongoze ktk hili.

Ila yanamwisho tu..na mwisho wake ni mtamu kuluko mwanzo..but inakubidi uzidi kuwa mvumilivu na mwenye uani juu ya uwezo wa mungu kuponya ndoa yako.

Barikiwa sana
 
Thank you,but God has been faithful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…