Tatizo siyo kukosea kuchagua, anaweza kuwa mtu sahihi kabla ya ndoa ila ndani ya ndoa mambo yakawa tofauti. Kuliko kufikia hatua yenye madhara kama ndoa imeshindikana ni kheri kila mtu ashike hamsini zake mambo ya kusema navumilia navumilia haya tulimzika ndugu yangu 2015. Kwanza kila kitu kina nafasi ya pili tofauti na uhai na kukosea kupo vilevile tatizo ni kuanza kuhisi jamii itanichukuliaje tukiachana? Nitaishi vipi maisha mapya?Kiapo cha ndoa kimeandikwa nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha.
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne mambo ndo huwa hivi. Sio vzr kumshauri mwenzako Kama ulivyomshauri hapo juu. Umebahatika kuwa na ndoa yenye amani shukuru sana Mungu maana upande wa pili huujui. Ndoa si vita, Kuna vya kuvumilia lkn si Kama hivyo.Kuna ndugu yangu alikuwa anavumilia hayo tukaongeaaa wee kanyaaa wee waaapi basi bwana tar za mwishoni mwezi wa 12 mwaka 2015 tukapigiwa simu tukachukue maiti ya ndugu yetu, tukazika na maisha yanaendelea. Story yake ikaishia hapo japo tunamkumbuka sana. Ndoa siyo kifungo kama inavyohubiliwa makanisani, upendo ukiisha kila mtu ashike hamsini zake.
Ajabu ni kuwaKabisa, ndo wanaume wanataka mwanamke wa hivyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙋♂️Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeeeeh.Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.
Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are so wrong my friend. Na Kama hujaolewa ndo kabisa kaa kimya huna experience yoyote huna haki ya kutoa ushauri tena wa aina hiyo.Una hakika gani atarudishwa kwao akiwa kwenye jeneza??
Wewe mtazamo wako ni huo,
Mimi mtazamo wangu ni Mungu atambadilisha.
Sijaolewa bado na Mungu atanipa wa kufanana naye,siyo huyo unayemtaka wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
So sadAjabu ni kuwa
Hawataki dada zao
Binti zao
Binamu zao
Rafiki zao
Kuwa wanawake wa aina hii.
Aina hii ya mwanamke inafaa pale tu mwanamke wa hivi anapokuwa mke wake.
Ila wanaowahusu ,weeeeeeh.
Kwa sababu anampiga basi aende hata kwao apumzike,Saint Anne mambo ndo huwa hivi. Sio vzr kumshauri mwenzako Kama ulivyomshauri hapo juu. Umebahatika kuwa na ndoa yenye amani shukuru sana Mungu maana upande wa pili huujui. Ndoa si vita, Kuna vya kuvumilia lkn si Kama hivyo.
Dah nimeshangaa sana comment yako umeshauri Kama mbibi wa Kijijini wa miaka 1870
Nisaidie kushangaaAseeeeeh.
🙄Kwa sababu anampiga basi aende hata kwao apumzike,
Sitamani achukue talaka.
Huyo mwanaume kuna siku atarudi tu kumlilia huyo dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo akae kusubiri?Kwa sababu anampiga basi aende hata kwao apumzike,
Sitamani achukue talaka.
Huyo mwanaume kuna siku atarudi tu kumlilia huyo dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemshauri kwa mujibu wa maandiko na amesema kuwa alifunga ndoa ya kanisani.You are so wrong my friend. Na Kama hujaolewa ndo kabisa kaa kimya huna experience yoyote huna haki ya kutoa ushauri tena wa aina hiyo.
Kweli nimeamini ule msemo wa wanawake hatupendani.
Ushauri wako haupo sawa..omba Mungu upate mume muwe na amani na si kumshauri mwenzako avumilie yote hayo. Kwaajili gani sasa?
Hujui maana ya ndoa wewe
Kuwa single maza na ndoa ya aina hii ndugu yangu?Wanawake walivyoshambulia huu uzi halafu utakuta na wao wale wale au ni masingo maza.....
Anyway...
Mshakaa kikao cha usuluhishi au ukashair story yako na mshenga au ndugu/mama shangazi n.k?
Au ndugu zake?
Au mshauri wa ndoa yenu?
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.