Mbona ameshauriwa vizuri sana.Nadhani akiwa yeye kama baada ya Emotions zilizomsukuma kuandika hili kumtoka ataona alivyokosea. Humu hakuna aliyemshauri kwa Kusimama on neutral base. Kwasababu wengi humu wamejaa negativity and will laugh on your miseries while pretending that wako upande wako.
Angeleta mada hii kipindi japo yupo sobber au kapatana na mtu wake angeweza kuandika vyema
Inabidi ugawe mabao ya uso tu maana mabao ya kitandani imekuwa kipengele😅Eeh hii balaaa..na mwanaume kama huwezi kumbato kwisha habari yako...unaanza vipigo[emoji16]
cc:Mahondaw vipi hajambo mkuu 😅Achana nae, alafu weka picha yako upewe muongozo...
[emoji16][emoji16][emoji16]Inabidi ugawe mabao ya uso tu maana mabao ya kitandani imekuwa kipengele[emoji28]
Pamoja. Nitakufuta sasa nambie namba yako hapo
Ushauri wako ni mzuri,ila umeotoa wakati ambao si sahihi,maana yake unakuwa ushauri mbaya kwa hali ilipo fikia. Hapaswi kuufanyia kazi sasa.Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.
Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.
Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.
Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
Hiyo ya chini kabisaPamoja. Nitakufuta sasa nambie namba yako hapo
Bana wanaume huwa mnaharibu wanawake wema banaBahati mbaya umetoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.....
Ad Allterum Pattern.....
hear the other side.......
He wewe unataka kumuangamiza mwenzako?😀😀😀Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?
Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.
We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
Kwani dada...sayari unayoishi inaitwaje? Na hiyo mbususu bado umemuhifadhia yeye au? 8 years 🙄🙄🙄. Kweli Kuna watu wataenda peponi nimeaminiMy dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
Wala 😀😀, kanielewaHe wewe unataka kumuangamiza mwenzako?😀😀😀
Huwa hatari wanakuwa so manipulative aisee wanaku torture psychologically, hata uwe mwema vipi ni mwendo wa kukutesa kihisia to me I consider them evil Bora kila mtu ashike njia zakeCarina pls spare my ribs
Huwa hatari wanakuwa so manipulative aisee wanaku torture psychologically, hata uwe mwema vipi ni mwendo wa kukutesa kihisia to me I consider them evil Bora kila mtu ashike njia zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sure aiseeHeheheh ukiwa serious shetani achezi mbali ilimradi awavuruge tu
Lakini kuna comments nyingi tu za kujenga, naamini hataondoka mtupu...kwa namna moja ama nyingine atabadilika, apunguze roho ya hurumaNadhani akiwa yeye kama baada ya Emotions zilizomsukuma kuandika hili kumtoka ataona alivyokosea. Humu hakuna aliyemshauri kwa Kusimama on neutral base. Kwasababu wengi humu wamejaa negativity and will laugh on your miseries while pretending that wako upande wako.
Angeleta mada hii kipindi japo yupo sobber au kapatana na mtu wake angeweza kuandika vyema
I'm not but vitu inajulikana tuVictim